Al Ahly waomba kuruhusiwa kujaza uwanja dhidi ya Simba kwao Misri - EDUSPORTSTZ

Latest

Al Ahly waomba kuruhusiwa kujaza uwanja dhidi ya Simba kwao Misri

 Al Ahly waomba kuruhusiwa kujaza uwanja dhidi ya Simba kwao Misri

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Taarifa kutoka kwa Al Ahly ni kwamba, wameomba mamlaka za mpira nchini kwao Misri ziwaruhusu mashabiki kuingia uwanjani 'full house' watakaporejeana na Simba SC katika mashindano ya Africa Football League.


Simba wataanza mchezo wa kwanza na Mabingwa hao wa Afrika Oktoba 20, 2023 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam na kisha kurudiana na Al Ahly Oktoba 24.


Al Ahly waomeomba hivyo ili kwenda sawa na Simba ambao nao kwenye mchezo wa kwanza wa Oktoba 20, Simba watakuwa na mashabiki full huouse ndani ya Benjamini Mkapa StadiumDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz