Stars yafuzu Afcon 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

Stars yafuzu Afcon 2023


 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Tanzania imefanikiwa kufuzu fainali za Afcon 2023 baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya Algeria


Tanzania ilihitaji alama moja kuweza kujihakikishia tiketi, ikiwa imefikisha alama nane katika nafasi ya pili kundi E


Licha ya ushindi wa mabao 2-0 ambao Uganda wameupata dhidi ya Niger, matokeo hayo hayakuweza kuwatosha kujihakikishia tiketi ya Afcon


Hii ni mara ya tatu Tanzania inafuzu michuano ya Afcon ikifanya hivyo mwaka 1980,2019 na sasa 2023


Hongera wachezaji Stars na benchi la ufundi kwa kuipeleka Stars Ivory CoastDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz