John Terry apata shavu Saudi Arabia - EDUSPORTSTZ

Latest

John Terry apata shavu Saudi Arabia

 John Terry

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Beki wa zamani wa Chelsea, John Terry amepata shavu la kuwa kocha wa Al-Shabab inayoshiriki Ligi ya Saudia kwa mujibu wa ripoti.


Terry alifuatwa na klabu hiyo miezi miwili iliyopita tayari amefikia makubaliano na wakati wowote atajiunga.


Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 42 amepewa mkataba wa miaka miwili, lakini anaweza kuendelea kuinoa zaidi ya miaka miwili mkataba wake utakapokamilika.


Terry anaungana na nyota wengi wa zamani wa Ligi Kuu England kwenye ligi hiyo akiwemo mchezaji mwenzake wa zamani wa Timu ya Taifa ya England, Steven Gerrard ambaye anainoa Al-Ettifaq.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz