Simba yamtambulisha goli kipa Mpya kutoka As FAR Rabat - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yamtambulisha goli kipa Mpya kutoka As FAR Rabat

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Simba imetambulisha usajili wa mlinda lango mwenye profile kubwa, Ayoub Lakred kutoka klabu ya AS FAR Rabat, mabingwa wa Ligi Kuu ya Morocco


Ilikuwa ahadi ya Rais wa heshima klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' kusajili mlinda lango mwingine ili kuhakikisha eneo hilo linakuwa imara


Lakred pia amewahi kuitumikia klabu ya RS Berkane ya Morocco akiwa ni mlinda lango namba moja


Mlinda lango huyo mwenye umri wa miaka 28 amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka miwiliDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz