Mshahara wa Mane kufuru huko Saudia - EDUSPORTSTZ

Latest

Mshahara wa Mane kufuru huko Saudia

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Msenegal Sadio Mane (31) amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Klabu ya Al Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia.


Sasa mshahara anaolipwa nyota huyo sio wa kitoto, anakunja Tsh Billion mbili (2) kwa wiki katika klabu ya Al Nassr.


Alikuwa akilipwa hivi kwa wiki alipotoka ;


£ 100k ›› Tsh 313 m — Liverpool


£ 250k ›› Tsh 783 m — Bayern


£ 650k ›› Tsh 2 Billion — Al-Nassr


Al-Nassr atalipwa hivi ;


Tsh 104+ Billion — Per year


Tsh 08+ Billion — Per month


Tsh 02+ Billion — Per week


Tsh 287+ Million — Per day


Tsh 11+ Million — Per hour


Tsh 200k ›› Laki mbili — Per Minutes


Tsh 3k + ›› Elfu tatu — Per seconds


Amesajiliwa kwa ada ya uhamisho ya £ 34 Million kwa mkataba wa miaka (3) akitokea katika klabu ya Bayern Munich . Utatu mtakatifu wa Al-Nasr


Sadio Mane


Cristiano Ronaldo


TaliscaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz