Bayern Munich, Liverpool kupimana ubavu leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Bayern Munich, Liverpool kupimana ubavu leo

 

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Bayern watapasha misuli dhidi ya Liverpool leo, Wote wakiwa wanatesti mitambo kuelekea msimu mpya yaani kama acha inyeshe tuone panapo vuja.


Bayern watapasha misuli dhidi ya Liverpool leo, Wote wakiwa wanatesti mitambo kuelekea msimu mpya yaani kama acha inyeshe tuone panapo vuja. Maingizo mapya kwa upande wa Liverpool hasa sehemu ya Midfield mtu kama Mac Allister, Szoboslai na Kwa Upande wa Bayern Kitasa Kim min Jae nae atakuwepo na Mid field ya boli Conrad Laimer nae Pia atakuwepo.

Mechi itakuwa live bure kwenye app yetu bofya hapa kuidownload sasaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz