Simba watoa taarifa mpya kuhusu usajili wa kipa Mpya - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba watoa taarifa mpya kuhusu usajili wa kipa Mpya

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amesema watamtambulisha golikipa mpya kabla ya August 06 siku ya SIMBA DAY


Simba imeachana na golikipa Jefferson Luis aliyebainika kuwa na majeraha ambayo yatamuweka nje kwa muda mrefu


Jefferson alikuwa kwenye kambi ya Simba Uturuki lakini uongozi ulichukua hatua ya kuachana nae baada ya vipimo kubaini ana majeraha makubwa


"Suala la golikipa tutatoa taarifa muda sio mrefu, kabla ya SIMBA DAY kila kitu kitakuwa kimewekwa hadharani," aliserma Ahmed


Simba imerejea nchini alfajiri ya leo Jumatano baada ya kumaliza kambi ya wiki tatu huko Uturuki


Ally Salim na Feruz aliyepandishwa kutoka timu ya vijana ndio magolikipa ambao kwa sasa wako kikosini


Hata hivyo habari njema kwa Wanasimba ni kuanza mazoezi mepesi kwa mlinda lango namba moja Aishi Manula ambaye anaweza kurejea uwanjani mapema

Usikose kutazama mubashara Simba Day Bure kabisa download app yetu Ili kutazama bofya hapa sasa



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz