Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Kitayosce Fc (Tabora United) imefungiwa kusajili katika dirisha hili la usajili mpaka pale itakapowalipa wachezaji wenye madai dhidi ya klabu hiyo ambao walishinda kesi walizofungua FIFA
Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, imebainisha kuwa timu hiyo inapaswa kuwalipa wachezaji wake watatu walioshinda kesi huko FIFA
TFF pia imeifungia Kitayosce kufanya usajili wa ndani mpaka itakapomalizana na wachezaji hao

No comments:
Post a Comment