TETESI: Simba kutemana na Moses Phiri - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI: Simba kutemana na Moses Phiri

Phiri Robertinho

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Tetesi zinasema uwezekano ni mkubwa wa Uongozi wa klabu ya Simba ukaachana na Mshambuliaji wao raia wa Zambia Moses Phiri.


Mazungumzo ya pande zote Juu ya kuuvunja mkataba wa Mwaka Mmoja Uliosalia yameshafikiwa.


Moses Phiri amekuwa akikosa nafasi ndani ya kikosi cha Simba chini ya Robertinho jambo linalowaibua Mashabiki kupigia kelele jambo hilo.


Mara zote Kocha Robertinho amekuwa akisema hana tatizo na Phiri na anamuhitaji katika kikosi chake.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz