Yanga yamtoa kwa mkopo mchezaji mmoja kwenda Jkt Tanzania - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yamtoa kwa mkopo mchezaji mmoja kwenda Jkt Tanzania

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mlinzi wa kushoto wa Yanga David Bryson amejiunga na JKT Tanzania kwa mkopo wa msimu mzima


Yanga imethibitisha kumtoa Bryson kwenda JKT Tanzania kwa mkopo wa mwaka mmoja


Bryson alikuwa bado na mkataba wa mwaka mmoja na Yanga


Katika dirisha hili la usajili Yanga ilimsajili Nickson Kibabage ambaye anaweza kutumika kama beki wa kushoto au winga


Ujio wa Kibabage ni wazi umeilazimu Yanga kumtoa Bryson kwenda kupata changamoto mpyaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz