Taarifa mpya kutoka Simba ni kuhusu Shomari Kapombe - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa mpya kutoka Simba ni kuhusu Shomari Kapombe

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mlinzi wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuwatumikia Wekundu hao wa Msimbazi


Kapombe ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao ilimalizika mwishoni mwa msimu uliopita ambapo benchi la ufundi lilipendekeza beki huyo mahiri zaidi upande wa kulia nchini aongezwe mkataba


Kapombe amekuwa sehemu ya kikosi cha Simba tangu mwaka 2017 akiitumikia Simba kwa awamu mbili tofauti


Hii ni taarifa njema kwa Wanachama na Mashabiki wa Simba ambao wanachohitaji msimu ujao ni kikosi imara ambacho kitashinda mataji


Simba imefanikiwa kuwabakisha wachezaji wake wote muhimu na kuongeza nyota wengine mahiri katika dirisha hili la usajili



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz