Alicho kiandika Haji Manara kuhusu ishu ya Baleke kuondoka Simba - EDUSPORTSTZ

Latest

Alicho kiandika Haji Manara kuhusu ishu ya Baleke kuondoka Simba

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Akiwa ameaga Tanzania na kurejea nyumabni kwa DR Congo, Straika wa Simba Jean Baleke ameacha sintofahamu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini.


Uongozi wa Simba SC umesema kuwa mchezaji huyo amekwenda kubadili Paspoti yake kwa kuwa imejaa huku wapo wanaosema ameachana na Klabu ya Simba ambayo alikuwepo kwa mkopo.


Sasa aliyekuwa Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;


"Nguo ya kuazima haistiri Tako


Acheni kudanganya kafata Passport eti imeisha muda wake, au imejaa.


Mpeni chake kama mlivyokubaliana vinginevyo mnajua connection yetu na Kinshasa.


Yaani Mtu karudi juzi Dar asijue passport yake imeisha au imejaa?


We give you only 24 hours otherwise mtavuna mabua, Ndegelec ,,


Nb: Sina kifua mm nawajuza mapemaaaaaa Congo tuna branch kule ya MGSDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz