Ratiba ya Ligi ya Mabingwa yawekwa hadharani - EDUSPORTSTZ

Latest

Ratiba ya Ligi ya Mabingwa yawekwa hadharani

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Michuano ya Ligi ya Mabingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika inatarajiwa kuanza mwezi August 2023


Mechi za hatua ya awali zitapigwa kati ya tarehe 18 na 20 Agosti 2023, mechi za marudiano ni tarehe 25 na 27 Agosti 2023


Raundi ya kwanza itapigwa tarehe 15 na 17 Septemba 2023, mechi za marudiano ni tarehe 29 Septemba 2023 na tarehe 1 Oktoba 2023


Mechi za hatua ya makundi zitaanza tarehe 24 na 26 Novemba 2023 na mechi za mwisho za makundi zitafanyika tarehe 1 na 3 Machi 2024


Robo fainali mechi za mwanzo ni tarehe 29 na 31 Machi 2024 na marudio ni tarehe 5 na 7 Aprili 2024


Nusu fainali mechi za awali ni tarehe 19 na 21 Aprili 2024 na mechi za marudiano ni tarehe 26 na 28 Aprili 2024


Fainali mechi za mwanzo ni tarehe 10 na 12 Mei 2024 na 17 na 19 Mei 2024
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz