Mbadala wa Morisson atua Dar, Yanga kazi kwao - EDUSPORTSTZ

Latest

Mbadala wa Morisson atua Dar, Yanga kazi kwao

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Nahodha wa AS Maniema Union ya DR Congo, Maxi Mpia amewasili nchini mchana wa leo Julai 12, 2023 kukamilisha dili la kujiunga na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga.


Maxi kama mambo yataenda sawa msimu ujao atavaa uzi wa njano na kijani ambapo taarifa za kupenyezewa zinadai Yanga watalazimika kutumia zaidi ya Sh400 milioni kununua mkataba wake wa mwaka mmoja uliobakia kwenye klabu yake ya AS Maniema.


Winga huyo anatajwa kuja kuchukua nafasi ya Mkongomani mwenzake Twisila Kisinda aliyeimaliza mkataba wake wa mwaka wa mkopo akitokea RS Berkane ya Morocco.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz