BREAKING: Yanga yamtambulisha Rasmi Jonas Mkude - EDUSPORTSTZ

Latest

BREAKING: Yanga yamtambulisha Rasmi Jonas Mkude



Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Ni rasmi klabu ya Yanga imemtambulisha kiungo Jonas Mkude kuwa mchezaji wao mpya


Mkude anatua Yanga akiwa mchezaji huru akitokea klabu ya Simba


Ni usajili uoliokuwa umegubikwa na tetesi nyingi lakini hatimaye, Yanga imethibitisha kumnasa kiungo huyo mwandamizi


Yanga imemsajili Mkude baada ya Kocha Miguel Gamondi kujiridhisha kuwa ni mchezaji anayeweza kuwa na mchango katika kikosi chake



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz