RASMI: Chama amalizana na viongozi, kuondoka nchini wakati wowote - EDUSPORTSTZ

Latest

RASMI: Chama amalizana na viongozi, kuondoka nchini wakati wowote

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Baada ya majadiliano na uongozi kumalizika vizuri, Kiungo Mshambuliaji Clatous Chama ataondoka nchini muda wowote kutoka sasa kuelekea Uturuki kujiunga na wenzake kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 2023-24.


Kwa mujibu wa taarifa ambayo Simba wameitoa leo Julai 17, 2023, Chama ataondoka pamoja na kiungo mkabaji Fabrice Ngoma ambaye mchakato wa kupata vibali vya kuingia Uturuki unaendelea vizuri.


Wawili hao wakifika Uturuki itakuwa wachezaji wote waliosajiliwa kwa ajili ya msimu ujao watakuwa wamekamilika.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz