Yanga waanza mazungumzo na Simon Msuva - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga waanza mazungumzo na Simon Msuva

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Taarifa kutoka ndani ya Uongozi wa klabu ya Yanga zimesema kuwa mpaka sasa kuna majina mawili mezani ya Wachezaji wazawa, Simon Msuva na George Mpole.


Huku Jina la Simon Msuva likipewa kipaumbele zaidi,


Mazungumzo Upande wa Simon Msuva yanaendelea na kama watafikia anachohitaji basi anaweza kupewa Jezi namba 6.


Huku Mpole nae yupo Nchini akisaka klabu ya kuitumikia japo kwa msimu mmoja ama zaidi kama mazungumzo yataenda sawa.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz