Rais wa Timu alala na mke wa Mwamuzi kisa kuwapendelea wapinzani - EDUSPORTSTZ

Latest

Rais wa Timu alala na mke wa Mwamuzi kisa kuwapendelea wapinzani

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Rais wa Klabu ya Cruzeiro FC, Sergio Santos Rodriguez alilala kitanda kimoja na Mke wa aliyekuwa Mwamuzi wa kati kwenye Mchezo wao dhidi ya Atletico MG,Felipe Lima.


Rais huyoanadaiwa kufanya hivyo kwa hasira kufuatia mwamuzi kuwapendelea Wapinzani wao,Atletico MG na kuwafanya kushinda kwa goli 1-0 kwa goli la Hulk na Timu yake kupoteza mchezo huo.


Cruzeiro FC inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Brazil inamilikiwa na Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid, Ronaldo de Lima ambaye anamiliki asilimia 70 ya Klabu hiyo.


Kibongo bongo mwamuzi gani apigwe tukio hilo? Dondosha Comment yakoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz