Karim Mandonga apigwa TKO raundi ya tatu na Mganda - EDUSPORTSTZ

Latest

Karim Mandonga apigwa TKO raundi ya tatu na Mganda

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Bondia Mtanzania Karim Mandonga amepigwa na Bondia wa Uganda Moses Golola kwa TKO (Technical Knock Out) round ya tatu katika pambano lililochezwa jijini Mwanza.


Bondia Mtanzania Karim Mandonga amepigwa na Bondia wa Uganda Moses Golola kwa TKO (Technical Knock Out) round ya tatu katika pambano lililochezwa jijini Mwanza. Ndani ya siku 8 Mandonga amepigana mapambano mawili na yote amepigwa ambapo July 22 2023 alipigwa na Bondia Daniel Wanyoni wa Kenya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz