Simba kucheza mechi ya kirafiki Uturuki leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba kucheza mechi ya kirafiki Uturuki leo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Jioni ya leo saa 12:30 Simba itacheza mechi nyingine ya kirafiki huko Uturuki kwa kucheza dhidi ya Batman Petrolspor


Batman Petrolspor inashiriki Turkey Football Federation Third League (Ligi daraja la nne) huko Uturuki


Kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea nchini Jumanne kukamilisha maandalizi kuelekea SIMBA DAY August 06Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz