Tetesi: Kipa M-brazil wa Simba avunjiwa Mkataba - EDUSPORTSTZ

Latest

Tetesi: Kipa M-brazil wa Simba avunjiwa Mkataba


 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Taarifa za kuaminika kutoka katika Klabu ya Simba zinasema Kipa mpya wa klabu hiyo Luis Jefferson kutoka Brazil amepata majeraha akiwa mazoezini.


Simba imepanga kuachana nae mara moja na kusaka kipa mpya mapema Kwa kumlipa fidia kwani majeraha aliyoyapata yatamuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu.


Jefferson amesajiliwa na Simba katika dirisha hili na bado hajafanikiwa kucheza mchezo wowote akiwa katika jezi ya Simba SC.


Je, ni kweli amepata majeraha au ni lile sakata la kuwa kanuni hazimruhusu kucheza Ligi Kuu?Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz