CAF waagiza Simba kutocheza mchezo wowote Ligi Kuu - EDUSPORTSTZ

Latest

CAF waagiza Simba kutocheza mchezo wowote Ligi Kuu

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Shirikisho la Mpira Barani Afrika, CAF limevitaarifu Vyama vyote nane (8) Wanachama kuwa vilabu vyao ambavyo vitashiriki Ligi ya Soka Afrika (Super League) kutocheza mchezo wowote wa Ligi Kuu au Mashindano yeyote kati ya Oktoba 20 hadi Novemba 11.


CAF iliwataka watengeneze kalenda zao vizuri ili kuziondoa timu hizi ambazo zitashiriki Ligi ya Soka Afrika.


Hivyo Basi Simba SC haitacheza mashindano yoyote ya kitaifa kuanzia Oktoba 20 hadi Novemba 11 Kipindi hiki kitamwezesha kucheza Ligi ya Soka ya Afrika (Super League).Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz