Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Yanga imemtanga Taibi Lagrouni raia wa Morocco kuwa kocha wa viungo
Taibi anatua kuchukua nafasi ya Prof Helmey ambaye aliondoka sambamba na Nabi baada mkataba wake kumalizika
Taibi amewahi kuzifundisha timu mbalimbali akipata mafanikio zaidi na klabu ya RS Berkane iliyotwaa kombe la Shirikisho 2019-20
No comments:
Post a Comment