Ronaldo amponda Messi kwenda Marekani - EDUSPORTSTZ

Latest

Ronaldo amponda Messi kwenda Marekani

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kwa lugha rahisi unaweza kutafsiri kauli ya CR7 ya kuwa ,Ligi aliyoenda Messi ni dhaifu ukilinganisha na anayocheza yeye, nipe na wewe mtazamo wako kwa kauli yake.


“Wakati natoka United walikosoa sana kwa kuja kwenye Ligi ya Saudi, lakini nini kilifanyika sasa?


"Ndani ya mwaka mmoja, wachezaji wengi wa juu zaidi watakuja Saudia na nina uhakika mwaka mmoja unatosha kwa ligi ya Saudi kuzipita ligi ya Uturuki na ligi ya Uholanzi.


“Ligi ya Saudi ni bora kuliko MLS, nina uhakika 100% sitarejea katika klabu yoyote ya Ulaya, nilifungua njia ya ligi ya Saudia na sasa wachezaji wote wanakuja hapa.


“Sitarudi kwenye soka la Ulaya, mlango wa kurudi huko tauari umefungwa kabisa. Kwanza nina umri wa miaka 38, pia soka la Ulaya limepoteza ubora mkubwa, Premier League pekee ndio wako mbele zaidi ya ligi zingine zote," amesema Ronaldo.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz