Breaking: Simba wamalizana na Fondoh Malone Junior kutoka klabu ya Cotton Sport - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Simba wamalizana na Fondoh Malone Junior kutoka klabu ya Cotton Sport

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Ni rasmi Simba imekamilisha usajili wa beki kisiki Che Fondoh Malone Junior kutoka klabu ya Cotton Sport, mabingwa wa Ligi Kuu ya Cameroon


Usajili mkubwa, usajili wa gharama kubwa ambao Wanamsimbazi wameusubiri kwa hamu, hatimaye ametambulishwa leo


Huyu ndiye mrithi wa Joash Onyango ambaye ameruhusiwa kwenda kumaliza mkataba wake kunako klabu ya Singida FG


Malone mwenye umri wa miaka 24, ndiye mchezaji bora wa ligi kuu ya Cameroon katika msimu uliopita


Ujio wake unawapa Wanasimba amani kuwa sasa watakuwa na watu wa kazi katika safu ya ulinzi hasa kwenye mechi za Kimataifa kuanzia CAF Super League na Ligi ya MabingwaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz