Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Gadiel alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba kwa misimu minne, mabosi wa Simba wakaachana nae baada ya mkataba wake kumalizika msimu huu
Singida Fountain Gate pia inatajwa kumsajili mlinda lango Beno Kakolanya ambaye pia ameachwa na Simba baada ya mkataba wake kumalizika
Matajiri hao wa Singida pia wanatajwa kumuwania beki Kennedy Juma ambaye hata hivyo Simba haina mpango wa kumuacha kwa kuwa bado ana mkataba wa mwaka mmoja
Zipo taarifa kuwa Kennedy kama ilivyo kwa Joash Onyango, nae aliomba kuachwa ili akajiunge na timu ambayo itampa uhakika wa kucheza
Kennedy ni miongoni nmwa wachezaji ambao Kocha Robertinho Oliveira alipendekeza kuendelea nao
Post a Comment