Azam FC yatambulisha wawili bechi la ufundi - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam FC yatambulisha wawili bechi la ufundi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Azam FC imetangaza wataalamu wawili wapya kwenye benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, Yousuf Dabo.


Waliotambulishwa ni, Khalifa Ababakar Fall (wa pili kutoka kulia), kuwa Kocha mpya wa Makipa na Ibrahim Diop, kama Mchambuzi wa mechi (Video Analyst), wote raia wa Senegal.


Wataalamu wote wawili wamesaini mkataba wa miaka mitatu kila mmoja.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz