Azam FC waendelea kushusha vyuma, wamtambulisha Mshambuliaji mpya - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam FC waendelea kushusha vyuma, wamtambulisha Mshambuliaji mpya

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mbona msimu ujao watakoma. Klabu ya Azam FC imemtambulisha mshambuliaji Alassane Diao kutoka US Goree ya kwao, Senegal.


“Tunayo furaha kuwataarifu kuwa tumeingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji hatari kutoka Senegal, Alassane Diao, akitokea US Goree,” imesema taarifa ya Azam FC.


Huyo anakuwa mchezaji mpya wa tatu tu Azam FC baada ya viungo mzawa, Feisal Salum Abdallah na Mgambia Djibril Silla.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz