Eng. Hersi kuhutubia Afrika Mkutano wa Kimichezo Ghana - EDUSPORTSTZ

Latest

Eng. Hersi kuhutubia Afrika Mkutano wa Kimichezo Ghana

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Rais wa Yanga Sc Eng Hersi Said amepata mualiko wa kuhudhuria kwenye mkutano mkubwa wa kimichezo (AfroSport Summit) utakao fanyika nchi Ghana Tarehe 2-3 mwezi wa 8 mwaka huu.


Rais wetu si kwamba atakuwa mgeni mualikwa tu bali ameteuliwa kuwa miongoni mwa watakaopata nafasi ya kuzungumza mbele ya mkutano huo ambao unawakusanya viongozi wengi wa soka kwenye kila kona ya Afrika.


Pia, Rais wetu kwa kukubali mwaliko huo amesema kuwa atazungumza kwa lugha ya kiswahili kama sehemu ya kukuza lugha yetu ya taifa, imesema taarifaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz