Simba kutambulisha mchezaji Mpya leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba kutambulisha mchezaji Mpya leo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Hatimaye ule wakati wa Wanasimba kuwafahamu wachezaji wao waliosajiliwa kwa ajili ya kuitumikia timu yao umewadia


Leo saa 7 mchana Simba itamtambulisha mchezaji wa kwanza aliyetua kwa ajili ya kuwapa furaha mashabiki wa Simba


"Muda wa kusubiri umekwisha kesho (leo) saa 7:00 mchana tutaanza kushusha watu wa kazi!," ujumbe wa Simba ulibainishaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz