Panga lahamia Simba Queens, wamtema Kocha - EDUSPORTSTZ

Latest

Panga lahamia Simba Queens, wamtema Kocha

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Simba wameendelea kupiga panga baadhi ya benchi lake la ufundi ambapo jioni hii, wametangaza kuachana na aliyekuwa Kocha wa Simba Queens, Charles Lukula.


Simba wametangaza jioni hii ya Juni 15, 2023 kupitia ukurasa wao wa Instagram.


"Tunamshukuru Charles Lukula kwa kuwa Kocha Mkuu wa Simba Queensc kwa kipindi cha msimu mmoja. Tunamtakia kila la kheri katika maisha yake."


Awali Simba walitangaza kuachana na Kocha wa Makipa Zakaria Chlouha, Kocha wa Viungo Kelvin Mandla pamoja na mchua misuli Fareed Cassiem.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz