Haya hapa Matokeo ya Yanga vs Dodoma Jiji U20 leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Haya hapa Matokeo ya Yanga vs Dodoma Jiji U20 leo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Yanga U20 imekumbana na kipigo kisichotarajiwa cha bao 1-0 kutoka kwa Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya Vijana U20 iliyopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi


Pamoja na kutawala mchezo, vijana wa kocha Said Maulid "SMG" walikosa umakini katika lango la Dodoma Jiji


Unaweza kusema pengo la Clement Mzize ambaye alikuwa mfungaji bora msimu uliopita, halijazibwa


Mzize alipandishwa timu ya wakubwa, licha ya umri wake kuruhusu kushiriki michuano hiyo, amewapisha vijana wengine waonyeshe vipaji vyao


Yanga iliruhusu bao dakika za lala salama, sasa italazimika kushinda mechi mbili zilizobaki dhidi ya Tanzania Prisons na Polisi Tanzania ili kuwa na nafasi ya kutinga robo fainaliDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz