Akaminko aongeza miwili Azam FC - EDUSPORTSTZ

Latest

Akaminko aongeza miwili Azam FC

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 AzamFC wametangaza kumuongeza mkataba kiungo wao James Akaminko


AzamFC wametangaza kumuongeza mkataba kiungo wao James Akaminko ''Kiungo chuma, @jakaminko11, ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia ndani ya klabu yetu.Hivyo, bado yupo yupo sana kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2026.'' AzamFC via Social MediaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz