Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza kuachana na mlinda mlango wake Beno Kakolanya baada ya mkataba wake kumalizika.
Beno alijiunga na Simba mwaka 2019 akitokea Yanga akiwa mchezaji huru. Kwa kipindi cha takriban miaka mine aliyoitumikia Simba, Beno na alikuwa alipata nafasi finyu ya kudaka mbele ya golikipa namba moja wa kikosi hicho, Aishi Manula.
pia Miaka 13 ya Jonas aliyohudumu ndani ya SimbaSC kwa jasho na damu kwa mapenzi ya dhati hatimaye amepewa mkono wa kwa heri. Kila kitu kina mwisho wake , Simba wametangaza kuachana naye. ''Uongozi wa klabu unatoa shukrani za dhati kwa mchango mkubwa aliotoa kwenye timu yetu kiungo mkabaji, Jonas Mkude katika muda wote wa miaka 13 aliyodumu nasi. Tunamtakia kila la kheri kwenye changamoto mpya ya maisha ya soka nje ya Simba''. SimbaSC via Social Media
No comments:
Post a Comment