Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wakati ikionekana yeye ndio mwenye tatizo kwa kushindwa kutumikia Mkataba wake kama inavyostahili kwa mujibu wa Mkataba.
Kiungo wa Yanga, Feisal Salum amesema yeye anaiheshimu Yanga ikiwa kama Taasisi kubwa ya kimpira na hana tatizo nao.
Vilevile Fei amesema hana shida wala tatizo na Mashabiki wa Yanga ila yey shida yake ni Rais wa Yanga, Injinia Hersi.
Akizungumza Feisal anasema;
" Yanga ni Taasisi hivyo siwezi kuwakosea, mashabiki wanaaminishwa kuwa mimi ni mtu mbaya lakini shida ipo kwa Rais wa Klabu"
No comments:
Post a Comment