Matokeo Fainali ya Ueropa league Jana haya hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Fainali ya Ueropa league Jana haya hapa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Timu ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la Europa League kwa mara ya saba baada ya ushindi wa penalti 4-1 kufuatia sare ya 1-1 na AS Roma usiku wa Jumatano Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest nchini Hungary.


Roma ya kocha José Mourinho ilitangulia kwa bao la dakika ya 34 la Paulo Dybala, kabla ya Gianluca Mancini kujifunga dakika ya 55 kuipatia bao la kusawazisha Sevilla.


Na kwenye mikwaju ya penalti Bryan Cristante pekee alifunga ya Roma, huku za Sevilla zikifungwa na Lucas Ocampos, Erik Lamela, Ivan Rakitić na Gonzalo Montiel.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz