Azam FC waimaliza kesi ya CAF kijanja waingia mkataba na klabu hii ya wanawake - EDUSPORTSTZ

Latest

Azam FC waimaliza kesi ya CAF kijanja waingia mkataba na klabu hii ya wanawake

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Azam FC imeimaliza kesi ya CAF kijanja kwa kuingia makubaliano ya kuimiliki Baobab Queens ya Dodoma kwa mwaka mmoja.


Azam itabeba majukumu yote ya kuiendesha; usajili, kulipa mishahara, gharama za usafiri lakini timu hiyo haitabadili jina wala kuhamishwa makazi kutoka Dodoma.


Azam FC itqcheza Kombe la Shirikisho msimu ujao baada ya kumaliza nafasi ya tatu Ligi Kuu Bara, na masharti ya CAF kila timu lazima iwe na Timu ya wanawake.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz