Breaking: Yanga yaachana na Tuisila Kisinda - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Yanga yaachana na Tuisila Kisinda

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Rasmi Yanga imetangaza kuachana na winga wake Tuisila Kisinda: Kisinda alijiunga Tena na Yanga msimu uliomalizika akitokea Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco.


Rasmi Yanga imetangaza kuachana na winga wake Tuisila Kisinda: Kisinda alijiunga Tena na Yanga msimu uliomalizika akitokea Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco. “Tunamshukuru Kisinda kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC,” tamko kwenye ukurasa rasmi wa klabu ya Yanga muda huu kuhusu kuachana na nyota wao Tuisila Kisinda.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz