Matokeo Tanzania vs Niger leo June 18 - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Tanzania vs Niger leo June 18

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Tanzania imeweka hai matumaini ya kufuzu Afcon 2023 baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Niger katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa


Bao pekee la Stars lilifungwa na Saimon Msuva aliyemalizia krosi ya Novatus Dismas kutoka upande wa kushoto


Tanzania ilitengeneza nafasi nyingi kwenye kipindi cha kwanza huku Niger wakija juu katika kipindi cha pili lakini wachezaji wa Stars walikuwa imara kuhakikisha alama zote tatu zinabaki Tanzania


Stars imefikisha alama 7 katika msimamo wa kundi F ikiwa nafasi ya pili mbele ya Uganda yenye alama nne ikitarajiwa kuchuana na Algeria baadae leoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz