Wydad watinga Fainali klabu bingwa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Wydad Casablanca imetinga fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya sare ya mabao 2-2 ugenini dhidi ya Mamelodi Sundowns


Wydad imesonga mbele kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza


Wydad Casablanca inayonolewa na aliyewahi kuwa mkufunzi wa Simba Sven Vandenbroeck, inakutana na Al Ahly ya Misri kwenye fainali kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuifunga kwenye fainali ya msimu uliopita

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post