Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wapinzani wa Yanga katika mchezo wa fainali kombe la Shirikisho barani Afrika USM Alger wamewasili nchini Alfajiri ya leo wakitokea kwao Algeria tayari kwa mchezo huo utakaopigwa Jumapili May 28 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Awali ilitarajiwa kuwa timu hiyo ingewasili nchini siku ya jana Alhamisi, saa 3 usiku
Hata hivyo walichelewa baada ya kupata changamoto ya usafiri iliyowalazimu kutua uwanja wa ndege Entebe Uganda kabla ya kuja Tanzania ikielezwa ndege yao iliishiwa mafuta
Msafara wa timu hiyo ulipokewa na Balozi wa Algeria nchini Tanzania
No comments:
Post a Comment