Aucho kukosa mechi zote za fainali ya CAF - EDUSPORTSTZ

Latest

Aucho kukosa mechi zote za fainali ya CAF

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 

 Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho atakosa mechi mbili za Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF kutokana na adhabu ya kadi za njano.


Yanga itapambana na USM Alger kutoka Algeria, mchezo wa kwanza ukichezwa Jumapili hii, Mei 28, 2023 huku wa marudiano ukitarajiwa kuchezwa June 3, 2023.


Kwa mujibu wa kanuni za CAF, mchezaji akipata kadi 6 kwenye mashindano haya atapata adhabu wa kukosa michezo miwili mfululizo.


Aucho alipata kadi ya 6 kwenye mashindano haya katika mchezo wa pili wa nusu fainali dhidi ya Marumo Gallants uliopigwa Afrika Kusini.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz