Tanzania Yapanda viwango vya CAF - EDUSPORTSTZ

Latest

Tanzania Yapanda viwango vya CAF

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Baada ya Yanga kutinga fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika, imeongeza pointi zaidi kwa Tanzania ambapo sasa imepanda kwa nafasi tano kutoka nafasi ya 11 msimu uliopita mpaka nafasi ya sita


Tanzania sasa iko juu ya DR Congo ambayo imeporomoka mpaka nafasi ya saba


Katika mashindano ya CAF msimu huu Yanga imekusanya alama 20 wakati watani zao Simba ambao walitolewa robo fainali ya ligi ya mabingwa wamekusanya alama 15


Aidha Yanga imepanda mpaka nafasi ya 18 katika viwango vya ubora wa klabu barani Afrika ikiwa na alama 20.5


Wananchi wanaweza kupanda hadi nafasi ya 15 kama watatwaa kombe la Shirikisho barani AfrikaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz