Taarifa mpya kutoka Yanga asubuhi hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa mpya kutoka Yanga asubuhi hii

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Yanga jana kiliingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger


Yanga imechimbia katika moja ya hotel maarufu jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa Jumapili, May 28 katika uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni


Hii ni fainali ya kihistoria kwa Yanga ambayo inakaribia kabisa kuingia katika vitabu vya CAF kuwa miongoni mwa timu zilizotwaa kombe la Shirikisho


Wananchi watakuwa na dakika 90 za jasho na damu uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili kusaka ushindi ambao utawaweka katika nafasi nzuri ya kutwaa taji hilo


Mkakati ni Yanga inashinda uwanja wa Benjamin Mkapa na kwenda kusaka matokeo ya sare au ushindi katika mchezo wa piliDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz