Yanga yasaka mbadala wa Djuma Shabani - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yasaka mbadala wa Djuma Shabani

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Tetesi zinaeleza kuwa Yanga wanamfuatilia beki wa kulia wa ASEC MIMOSAS ya Ivory Coast, Yao Kouassi Attohoula mwenye umri miaka 26.


Beki huyo anasifika kwa uwezo mkubwa wa kukaba na kupandisha mashambulizi bila kusahau kupiga krosi za maana.


Msimu huu kwenye ligi ya Ivory Coast amefunga mabao 2 na pasi 7 za mabao huku kwenye Shirikisho akipiga pasi 3 za mabao.


Djuma Shabani inaelezwa kocha Nabi ameanza kuingiwa na mashaka juu ya uwezo wake katika siku za hivi karibuni kushindwa kuendana na kasi ya wapinzani jambo ambalo limepekea beki wa kati Dickson Job kupewa upande wa kulia.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz