Simba hawapoi waamua kufanya hili mapema - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba hawapoi waamua kufanya hili mapema

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Baada ya mapumziko ya siku chache, kikosi cha Simba leo kinarejea mazoezini Mo Simba Arena kwa ajili ya maandalizi ya mechi mbili za kuhitimisha msimu Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania na Coastal Union ambao zitapigwa Juni 06 na Juni 09


Awali mechi hizo zilipaswa kupigwa May 24 na May 28 lakini kutokana na mabadiliko ya ratiba yaliyofanywa na Bodi ya Ligi, yakapelekea Simba kuwapa wachezaji mapumziko


Pamoja na mechi hizo ni za kukamilisha ratiba tu kwa upande wa Simba, Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira anazitaka alama zote sita


Robertinho amesema kutokuwa na msimu wa mafanikio haipaswi kuwa sababu ya kuwafanya wasifanye vizuri katika mechi zilizosalia


Simba imemaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi nyuma ya Yanga ambayo imetwaa ubingwa kwa msimu wa pili mfululizoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz