Fainali Uropa Ligi, Ni Roma vs Sevilla - EDUSPORTSTZ

Latest

Fainali Uropa Ligi, Ni Roma vs Sevilla


 

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Timu ya AS Roma imefanikiwa kutinga Fainali ya Europa League baada ya sare ya 0-0 na wenyeji, Bayer Leverkusen kwenye mchezo wa marudiano wa Nusu leo usiku wa Alhamisi Uwanja wa BayArena Jijini Leverkusen.


Timu hiyo ya kocha Mreno, José Mourinho inanufaika na ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Italia na sasa itakutana na Sevilla iliyoitoa Juventus.


Sevilla imeitoa Juventus kwa jumla ya mabao 3-2 kufuatia ushindi wa 2-1 jana Hispania ikitoka kutoa droo ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza Italia.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz