Bendera ya Yanga yazidi kupeperuka Africa - EDUSPORTSTZ

Latest

Bendera ya Yanga yazidi kupeperuka Africa

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Rais wa Yanga Injinia Hersi Said jana alialikwa kwenye kipindi cha Soccer Africa katika Makao Makuu ya DSTV huko Afrika Kusini


Ulikuwa mwendelezo wa mialiko ambayo Injinia Hersi alipata wakati yuko Afrika Kusini na kikosi cha Yanga kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa pili nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Marumo Gallants, Yanga ikifanikiwa kutinga fainali


Kabla ya mwaliko wa DSTV, Hersi alifanya mahojiwa na Robert Marawa wa 947 na Shirika la utangazaji la Afrika Kusini (SABC) 


Mafanikio ya Yanga katika michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika msimu huu yamewashtua wengi, Hersi ametumia fursa hiyo kuitangaza vyema Yanga na nchi ya TanzaniaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz