Ally Kamwe amcharukia Ahmedy Ally kisa maneno haya - EDUSPORTSTZ

Latest

Ally Kamwe amcharukia Ahmedy Ally kisa maneno haya

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Kutoka kwa Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe amejibu andiko la Afisa Habari wa Simba SC kwamba Yanga ilicheza na timu dhaifu ndio maana imefika Fainali Kombe la Afrika #CAFCC.


"Huyu ni @moodewji.. Nje ya Utani wetu wa Jadi... Huyu ni Mwanadamu aliyewekeza jasho, muda na fedha zake nyingi kwenye Football ya Tanzania


Anajua ugumu wa kucheza Fainali ya CAF .. Na ndio sababu ameipongeza @yangasc kwa Kufikia Mafanikio hayo.. @moodewji Anajua Yanga kucheza Fainali ya CAF ina maana kwa Taifa letu..


Halafu anaibuka kiongozi wa Chini ndani ya Taaisisi inayoongozwa na @moodewji anaweka andiko reeefu lisilo na kichwa wala miguu anabeza ... This is Sad.


Iliposemwa ukiwa na Furaha au Huzuni sana Usizungumze au Kuandika Lolote.. Wakubwa walimaanisha mengi sana.


Muda ambao viongozi wao wanatakiwa kuwa watulivu na kufanya Tathmini ya Timu yao, wapi walikosea ili waboreshe wasiwaumize tena Mashabiki wao.


Wao wako busy kufanya tathmini ya Safari ya Mafanikio ya @yangasc Juzi mmoja kajisifia kutimiza Ahadi yake ya kuifunga Yanga Leo mwingine kaja na andiko kuhusu Yanga kwenye Michuano ya Kimataifa


Haya ni mawazo ya watu wadogo kwenye Timu ndogo... KOLO ANAELEKEA HUKO KWA WATU ALIOKUWA NAO".Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz