Bodi ya Ligi yaibadilishia ratiba Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Bodi ya Ligi yaibadilishia ratiba Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Bodi ya Ligi Kuu imefanya mabadiliko ya Ratiba kwa mechi mbili zinazoihusu klabu ya Yanga


Mchezo dhidi ya Mbeya City uliokuwa upigwe May 24 sasa utapigwa Juni 06 na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons uliokuwa upigwe May 28 sasa utapigwa Juni 09


Mabadiliko hayo ni kuipa nafasi Yanga kujiandaa na mchezo wa fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger ambao mkondo wa kwanza utapigwa May 28 uwanja wa Benjamin Mkapa na marudiano kupigwa Juni 03 huko Algeria

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz